read
news & Articles

Simba, N Card watatua tatizo la tiketi Simba Day
Viongozi wa Simba na wasimamizi wa mfumo wa tiketi za kielektroniki N Card, wamekubaliana kutoa kadi nyingine tofauti kwa ajili ya watu kuingia uwanjani kwenye

Simba yalamba dili nono Air Tanzania
Klabu yetu imeingia mkataba wa miaka miwili na Shirika la Ndege Tanzania (Air Tanzania) kuwa wasafirishaji wetu rasmi wa safari za ndani na nje ya

Simba yaja kivingine, kutoka na ‘Mascot’ kila kona
Wadhamini wa Klabu ya Simba, Mo 29 na Mo Extra wamezindua Mascot (Kinyago) rasmi kwa ajili ya timu kijulikanacho kama ‘Mo Rafiki’ ambacho kitakuwa kinapatikana

Simba kurejea Dar kesho
Baada ya kukamilika kwa kambi ya mazoezi ya wiki mbili mkoani Arusha kikosi chetu kesho saa mbili usiku kitarejea jijini Dar es Salaam tayari kwa

Simba yatoa milioni 10 Mwananyamala wadi ya mama na mtoto
Uongozi wa Klabu ya Simba umetoa cha Sh milioni 10 katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Mwananyamala kwa ajili ya kusaidia afya ya mama na

Kalaba kuiongoza TP Mazembe Simba Day
Kiungo wa Timu Taifa ya Zambia, Rainford Kalaba anatarajiwa kuwa sehemu ya wachezaji 23 wa TP Mazembe watakaokuja nchini Septemba 18 kwa ajili ya mchezo
