read
news & Articles

Tumevunja mwiko Uwanja wa Majaliwa
Tumefanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Namungo FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC huku tukivunja mwiko katika Uwanja wa Majaliwa

Kikosi kitakachoanza dhidi ya Namungo FC
Kikosi chetu leo saa 12:30 jioni kitashuka katika Uwanja wa Majaliwa, Ruangwa mkoani Lindi kuikabili Namungo FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC. Kocha

Tupo Kamili Kuivaa Namungo Leo
Kikosi leo saa 12:30 jioni kitashuka katika Uwanja wa Majaliwa, Ruangwa mkoani Lindi kuikabili Namungo FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC. Mechi za

Fadlu: Tumepata muda mzuri kujiandaa dhidi ya Namungo
Kocha Mkuu, Fadlu Davids amesema baada ya mchezo wetu dhidi ya Dodoma Jiji kuahirishwa wikiendi iliyopita kikosi chetu kimepata muda mrefu wa kujiandaa kabla ya

VIDEO: Tazama jinsi kikosi kilivyowasili Ruangwa
Kikosi chetu kimewasili salama Ruangwa mkoani Lindi kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Namungo utakaopigwa Uwanja wa Majaliwa, Jumatano saa

Timu kuondoka kesho kuifuata Namungo
Kikosi cha wachezaji 22 kitaondoka kesho saa 12 asubuhi kuelekea Lindi tayari kwa mchezo wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Namungo FC utakaopigwa Jumatano,