Timu kuondoka kesho kuifuata Namungo

Kikosi cha wachezaji 22 kitaondoka kesho saa 12 asubuhi kuelekea Lindi tayari kwa mchezo wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Namungo FC utakaopigwa Jumatano, Februari 19 saa 12:30 jioni.

Kikosi kitasafiri kwa Ndege hadi Mtwara kisha kitachukua usafiri wa basi hadi Ruangwa tayari kwa mchezo huo.

Baada ya kikosi kuwasili kesho jioni kitafanya mazoezi ya utimamu wa mwili na Jumanne kitafanya mazoezi ya mwisho.

SHARE :
Facebook
Twitter

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

GET NEWSLETTER