read
news & Articles

Bocco kuongoza mashambulizi dhidi ya Jwaneng Galaxy
Nahodha John Bocco ataongoza mashambulizi dhidi ya Jwaneng Galaxy katika mchezo wa hatua ya kwanza ya Ligi ya Mabingwa Afrika utakaopigwa Uwanja wa Taifa wa

Safari yetu ya Ligi ya Mabingwa Afrika inaanza Leo
Kikosi chetu leo kitatupa karata yake ya kwanza kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika Msimu wa 2021/22 kwa kucheza na Jwaneng Galaxy ya hapa

Alichokisema Bocco baada ya kutua Botswana
Nahodha wa timu yetu, John Bocco amesema wachezaji wote waliosafari kuelekea nchini Botswana wapo tayari kwa ajili ya mchezo wa hatua ya kwanza dhidi ya

Kikosi kinachosafiri kwenda Botswana
Kikosi chetu cha wachezaji 24 kinaondoka leo kuelekea Botswana tayari kwa mchezo wetu wa kwanza wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Jwaneng Galaxy. Mchezo

CAF yaruhusu mashabiki 15,000 Simba, Jwaneng kwa Mkapa
Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF), limeruhusu idadi ya mashabiki 15,000 kuhudhuria mchezo wetu wa marudiano wa Ligi ya Mabingwa utakaopigwa Oktoba 24 katika Uwanja

Simba yazidi kujifua kuivutia kasi Jwaneng Galaxy
Kikosi chetu kimeendelea na mazoezi katika Uwanja wa Boko Veterans kujiandaa na mchezo wa hatua ya kwanza ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Jwaneng
