read

news & Articles

Pablo atua nchini

Kocha Mkuu Pablo Franco raia wa Hispania tayari ametua nchini leo kuanza kibarua cha kukinoa kikosi chetu. Pablo 41, amepokelewa Uwanja wa Ndege wa Mwalimu

Simba kurejea mazoezini leo

Kikosi chetu leo kitaanza mazoezi kujiandaa na mchezo ujao wa ligi kuu dhidi ya Ruvu Shooting utakaopigwa Novemba 19, Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza.

Wachezaji Simba wapewa mapumziko

Wachezaji wetu wamepewa siku tatu za mapumziko kutokana na kusimama kwa ligi kupisha mechi za kufuzu fainali za Kombe la Dunia Wachezaji ambao hawajaitwa katika

subscribe

sign up for our newsletter:

Get news straight from Simba SC