read
news & Articles
Simba macho yote kwa KMC
Baada ya kupoteza mchezo uliopita sasa nguvu zote tumezielekeza katika mchezo wa kesho wa Ligi Kuu dhidi ya KMC utakaopigwa katika Uwanja wa Benjamin Mkapa
Simba kambini kuivutia Kasi KMC
Kikosi chetu kimeingia kambini kujiandaa na mchezo wa ligi kuu dhidi ya KMC utakaopigwa Jumatano Julai 7, saa moja usiku katika Uwanja wa Benjamin Mkapa.
Gomes: Tumeumia, tumewaangusha mashabiki wetu
Baada ya kupoteza mchezo wa jana dhidi ya Yanga, Kocha Mkuu Didier Gomes amesema matokeo hayo yametuumiza kwani tumewaangusha mashabiki wetu ambao walikuwa na matumaini
Wametuchelewesha tu, ubingwa uko pale pale
Pamoja na kupoteza mchezo kwa bao moja mbele ya watani wetu Yanga lakini ni kama wametuchelewesha ila ubingwa wa Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) msimu
Morrison aanza ‘full kuwakera’ kwa Mkapa leo
Kiungo mshambuliaji Bernard Morrison ameanzishwa katika kikosi cha kwanza kilichopangwa kuikabili Yanga kwenye mchezo wa ligi kuu utakaopigwa Uwanja wa Benjamin Mkapa leo saa 11
Tunataka taji letu la VPL leo
Alama tatu dhidi ya watani wetu wa jadi Yanga kwenye mchezo wa leo zitatufanya kutawazwa mabingwa wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL), kwa