read
news & Articles
Simba yafanya mazoezi ya mwisho kuivaa Azam kesho
Kikosi chetu kimefanya mazoezi ya mwisho leo asubuhi kujiandaa na mchezo wa ligi kuu dhidi ya Azam FC utakaopigwa kesho saa moja usiku katika Uwanja
Simba Queens yakabidhiwa kombe lake
Timu yetu ya Wanawake ya Simba Queens, imekabidhiwa taji lake la Ubingwa wa Ligi (Serengeti Lite Women Primier League) baada ya kumalizika mchezo maalumu dhidi
Gomes awataja Mo, Barbara, wachezaji ubingwa VPL
Kocha Mkuu Didier Gomes, amemshukuru Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Klabu ya Simba, Mohamed Dewji (Mo) na Mtendaji Mkuu, Barbara Gonzalez kwa ushirikiano waliompa
Rasmi Simba Bingwa VPL 2020/21
Ushindi wa mabao 2-0 tuliopata leo dhidi ya Coastal Union, umetufanya kutawazwa mabingwa wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara msimu 2020/21 kwa mara ya
Gomes afanya Mabadiliko kikosi cha kuikabili Coastal
Kocha Didier Gomes amefanya mabadiliko ya wachezaji watano kwenye kikosi cha kwanza ambacho kitashuka dimbani kuikabili Coastal Union kwenye mchezo wa ligi kuu utakaopigwa Uwanja
Pointi moja tu tuchukue ubingwa wa VPL leo
Kikosi chetu leo kitashuka katika Uwanja wa Benjamin Mkapa saa moja usiku kuikabili Coastal Union kwenye mchezo wa ligi kuu ambao tukipata hata sare tutatangazwa