Timu yetu imewasili salama Visiwani Zanzibar tayari kushiriki Michuano ya Mapinduzi ambayo hufanyika kila mwaka.
Timu imewasili ikiwa na kikosi kamili kwa kuwa lengo letu la kwanza ni kuhakikisha tunatwaa ubingwa wa michuano hii ya baada ya kupita muda mrefu.
Baada ya kikosi kuwasili Zanzibar wachezaji watapumzika kisha baadaye kitaenda mazoezini kwa ajili ya kuweka miili sawa.
Mchezo wetu wa kwanza utakuwa Jumatano saa 10:15 jioni katika Uwanja wa Amani.
One Response
Nguvu 1