read
news & Articles
Simba Queens yafanya mazoezi ya mwisho kabla ya kuivaa FAD
Kikosi cha timu yetu ya Wanawake ya Simba Queens mchana huu kimefanya mazoezi ya mwisho katika Uwanja wa Gymkhana kujiandaa na mchezo wa tatu wa
Kauli ya Nahodha Simba Queens kuelekea mchezo wa kesho
Nahodha wa timu yetu ya Wanawake Simba Queens, Violeth Nicholaus amesema mchezo wa kesho dhidi ya FAD FC utakuwa mgumu kutokana na uhitaji wa alama
Barbara ashukuru mwitikio Simba App
Ofisa Mtendaji Mkuu wa Simba, Barbara Gonzalez, amewashukuru wana Simba kwa namna walivyojitokeza kwa wingi kupakua Simba App. Gonzalez alisema kitendo cha kupata watumiaji wa
Gomez: Morocco ilikuwa safi
Kocha Mkuu wa Simba, Didier Gomez da Rosa, amesema kambi ya Morocco ni msingi muhimu wa maandalizi ya msimu ujao wa mashindano unaoanza mwezi huu.
Simba Queens, Lady Doves hakuna mbabe
Kikosi chetu cha Timu ya Wanawake ya Simba Queens, kimetoka sare ya bila kufungana na Lady Doves ya Uganda katika mchezo wa pili wa Michuano
Oppa kuongoza mashambulizi dhidi ya Lady Doves
Mshambuliaji kinara wa Simba Queens, Oppah Clement atakiongoza kikosi chetu katika mchezo wa pili wa Michuano ya Caf Women’s Champions League Cecafa Qualifier 2021 dhidi