read
news & Articles

Alichosema Pablo kuelekea mchezo wa kesho
Kocha Mkuu Pablo Franco, amefunguka kuwa lengo ni kuhakikisha tunashinda kila mchezo uliopo mbele yetu katika Michuano ya Mapinduzi ili kuibuka mabingwa. Pablo amesema anaamini

Oppah apiga ‘hat trick’ Simba Queens ikiichakaza Ilala
Mshambuliaji kinara Oppah Clement amefunga mabao matatu ‘hat trick’ katika ushindi wa 4-1 tuliopata dhidi ya Ilala Queens ukiwa mchezo wa Ligi Kuu ya Wanawake

Huu hapa uzi mpya wa Mapinduzi, ASFC
Leo tumezindua rasmi jezi mpya ambazo tutazitumia katika Michuano ya Mapinduzi na Azam Sports Federation Cup (ASFC). Kama kawaida jezi za nyumbani zitakuwa rangi nyekundu

Kikosi kimetua salama Zanzibar
Timu yetu imewasili salama Visiwani Zanzibar tayari kushiriki Michuano ya Mapinduzi ambayo hufanyika kila mwaka. Timu imewasili ikiwa na kikosi kamili kwa kuwa lengo letu

Tunakwenda Mapinduzi na kikosi kamili kuchukua kombe
Kikosi chetu kinaondoka asubuhi hii kuelekea Visiwani Zanzibar tayari kwa Michuano ya Mapinduzi kikiwa na wachezaji kamili na lengo letu ni kushinda na kurejea na

Ahmed Ally Ofisa Habari wetu mpya
Mtangazaji kijana, mchapakazi na mdau wa michezo nchini Ahmed Ally ndiye Ofisa Habari na Mawasiliano mpya wa timu yetu. Ahmed kabla ya kujiunga nasi ametokea
