read
news & Articles
Simba kamili kuanzia kesho
Wachezaji wote wa Simba waliokuwa kwenye timu mbalimbali za taifa wanatarajiwa kuanza kurejea nchini na kuingia kambini kufikia hadi kufikia kesho Alhamisi Septemba 9. Kwa
Simba Queens uso kwa uso tena na Lady Doves mshindi wa tatu
Kikosi cha timu yetu ya Wanawake ya Simba Queens itakutana na Lady Doves katika mchezo wa kutafuta mshindi wa tatu wa michuano ya Caf Women’s
Ni Simba VS TP Mazembe Simba Day
Katika kuadhimisha kilele cha Tamasha kubwa la Simba Day, timu yetu itacheza na mabingwa mara tano wa Ligi ya Mabingwa Afrika TP Mazembe kutoka Jamhuri
Simba Queens yatolewa michuano ya Cecafa
Kikosi chetu cha Timu ya Wanawake Simba Queens imetolewa kwenye Michuano ya Caf Women’s Champions League Cecafa Qualifiers 2021 baada ya kufungwa mabao 2-1 dhidi
Oppah kuongoza mashambulizi dhidi ya Vihiga leo
Mshambuliaji nyota wa timu yetu ya Wanawake ya Simba Queens, Oppah Clement ataongoza mashambulizi katika mchezo wetu wa Nusu Fainali ya Caf Women’s Champions League
Hiki hapa kikosi cha nyota 21 wa Simba wanaokwenda kambini Arusha
Kikosi chetu leo saa 11 jioni kitasafiri kwa ndege kuelekea jijini Arusha kwa kambi ya wiki mbili kujiandaa na Msimu Mpya wa Ligi 2021/22. Kikosi