read
news & Articles
Simba yasaini mkataba na Africarriers wa mabasi ya kisasa
Klabu yetu imesaini mkataba wa miaka minne na Kampuni ya uuzaji na ukodishaji magari ya Africarriers kwa ajili ya kuzisafirisha timu zetu ikiwamo ya wakubwa,
Emirate Aluminum wazidi kuimwagia Simba mamilioni
Klabu yetu imeingia mkataba wa miaka miwili na Kampuni ya Emirate Aluminium ACP wenye thamani ya Sh milioni 300 kwa ajili ya kutoa motisha kwa
Simba kambini leo kuivutia kasi Yanga
Baada ya mapumziko ya siku moja kikosi chetu leo kinaingia kambini kujiandaa na mchezo wa Ngao ya Jamii dhidi ya Yanga utakaopigwa Jumamosi Septemba 25,
Simba yarejea mazoezini Mo Arena
Kikosi chetu leo jioni kimefanya mazoezi katika viwanja vyetu vya Mo Simba Arena kujiandaa na mchezo wa Ngao ya Jamii dhidi ya Yanga utakaopigwa Jumamosi
Wachezaji Simba wafanyiwa vipimo vya moyo
Nyota wetu wote 32 tuliowasajili kwa ajili ya msimu mpya wa ligi 2021/22 leo mchana wamefanyiwa vipimo vya moyo katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya
Gomes: Kwa kikosi hiki Wanasimba watafurahi sana
Pamoja na kupoteza mchezo kwa bao moja dhidi ya TP Mazembe katika kilele cha Simba Day, Kocha Didier Gomes ameridhishwa na viwango vya wachezaji wetu