read

news & Articles

Kapombe kuikosa Dodoma Jiji kesho

Mlinzi wa kulia Shomari Kapombe ndiye mchezaji pekee kati ya 23 waliopo kikosini ambaye atakosekana katika mchezo wa pili wa ligi dhidi ya Dodoma Jiji

Kennedy atoboa siri ya kiwango chake

Mlinzi wa kati Kennedy Juma ametoboa siri ya kiwango chake kuimarika ni mazoezi, kujituma, kujitunza na kujitambua kuwa ni mchezaji na muda wowote akipewa nafasi

Simba kupaa mchana kuifuata Dodoma Jiji

Kikosi chetu leo mchana kinaondoka jijini Mwanza kwa Ndege ya Shirika la Ndege Tanzania (ATCL), kuelekea Dodoma kikipitia Dar es Salaam tayari kwa mchezo wa

Simba, Biashara hakuna mbabe

Mechi yetu ya kwanza ya Ligi kuu dhidi ya Biashara United iliyopigwa Uwanja wa Karume mkoani Mara imemalizika kwa sare ya bila kufungana. Mchezo ulianza

subscribe

sign up for our newsletter:

Get news straight from Simba SC