read
news & Articles
Buku tano kuziona Simba, Jwaneng
Kiingilio cha chini katika mchezo wetu wa marudiano wa Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya kwanza dhidi ya Jwaneng Galaxy kimepangwa kuwa Sh 5,000 kwa
Taddeo aeleza furaha ya kufunga kwenye michuano mikubwa
Kiungo mkabaji Taddeo Lwanga, ameweka wazi furaha yake ya kufunga bao muhimu kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika katika ushindi wa 2-0 dhidi ya
Gomes atoboa siri ya ushindi ugenini
Kocha Mkuu Didier Gomes, ameweka wazi kuwa benchi la ufundi liliwaelekeza wachezaji kucheza kwa nidhamu na kutumia nafasi zitakazopatikana ili kupata ushindi ugenini na jambo
Simba mguu mmoja ndani makundi Afrika
Ushindi wa mabao 2-0 tuliopata ugenini dhidi ya Jwaneng Galaxy nchini Botswana umetufanya kuzidi kusogelea hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Matokeo ya
Bocco kuongoza mashambulizi dhidi ya Jwaneng Galaxy
Nahodha John Bocco ataongoza mashambulizi dhidi ya Jwaneng Galaxy katika mchezo wa hatua ya kwanza ya Ligi ya Mabingwa Afrika utakaopigwa Uwanja wa Taifa wa
Safari yetu ya Ligi ya Mabingwa Afrika inaanza Leo
Kikosi chetu leo kitatupa karata yake ya kwanza kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika Msimu wa 2021/22 kwa kucheza na Jwaneng Galaxy ya hapa