read

news & Articles

Simba yajipanga kuanza kutoa dozi nene

Baada ya kupata ushindi lakini kwa idadi ndogo ya mabao benchi la ufundi limejipanga kuhakikisha tunaanza kutoa dozi tukianza katika mchezo wa kesho wa Ligi

Alichosema Matola baada ya kumaliza kozi

Kocha wetu msaidizi Seleman Matola ni miongoni mwa washiriki 25 waliohitimu kozi ya Diploma B ya Shirikisho la Soka Afrika (CAF) iliyofungwa leo mkoani Morogoro.

Bwalya afunguka staili yake ya kushangilia

Kiungo wetu mshambuliaji Rally Bwalya, amesema aina yake ya ushangiliaji anapofunga bao huwa anamaanisha licha ya kupitia magumu lakini kuna mwanga na baraka mbele yake.

Hitimana: Tumecheza kwa presha kubwa

Kaimu Kocha Mkuu Hitimana Thierry, amesema katika mchezo wa leo dhidi ya Polisi Tanzania tulicheza kwa presha lakini tunashukuru kwa kupata alama tatu muhimu. Hitimana

subscribe

sign up for our newsletter:

Get news straight from Simba SC