read
news & Articles
Simba kuingia kambini kujiandaa na Ruvu Shooting
Kikosi chetu kitaingia kambini leo baada ya mazoezi ya jioni kujiandaa na mchezo wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Ruvu Shooting utakaopigwa Novemba katika
Simba yajipima na Cambiaso mbele ya Pablo
Kocha Mkuu Pablo Franco, leo ameshuhudia mchezo wa kirafiki wa kimazoezi dhidi ya Cambiaso Sports uliopigwa saa 10 jioni katika Uwanja wa Boko Veterans na
Pablo aanza kazi Simba
Kocha Mkuu Pablo Franco, leo ameanza rasmi kukiongoza kikosi chetu katika mazoezi yake ya kwanza tangu ajiunge nasi. Kocha Pablo ametua nchini juzi kutoka Hispania
Kocha Pablo aichambua Taifa Stars
Kocha Mkuu Pablo Franco, amesema moja ya sababu iliyoifanya Timu yetu ya Taifa ya Tanzania kukubali kipigo cha mabao 3-0 kutoka kwa DR Congo jana
Pablo atua nchini
Kocha Mkuu Pablo Franco raia wa Hispania tayari ametua nchini leo kuanza kibarua cha kukinoa kikosi chetu. Pablo 41, amepokelewa Uwanja wa Ndege wa Mwalimu
Simba yajitokeza vipengele vitano tuzo za kidijitali
Kuelekea hafla ya utoaji wa tuzo za Kidijitali zitakazofanyika Desemba 12, jijini Dar es Salaam klabu yetu, viongozi na wafanyakazi wake wamehusishwa katika vipengele vitano.