read
news & Articles
Mabingwa DR Congo kujipima na Simba Queens
Mabingwa wa Ligi ya Wanawake nchini DR Congo Timu ya FCF Amani iliyopo nchini kwa ziara maalumu kesho itacheza mechi ya kirafiki na kikosi cha
Hivi hapa viingilio Simba, Red Arrows
Uongozi wa klabu tayari umeweka hadharani viingilio vya mchezo wetu wa kwanza wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Red Arrows utakaopigwa Jumapili uwanja wa
Mashabiki 35,000 kuziona Simba, Arrows uwanjani
Shirikisho la Soka barani Afrika (CAF) limeruhusu mashabiki 35,000 kuingia uwanjani kushuhudia mchezo wetu wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Red Arrows utakaopigwa Jumapili
Pablo atarajia ukaribisho mkubwa Jumapili kwa Mkapa
Kocha Mkuu Pablo Franco, amefunguka kuwa anatarajia mashabiki watajitokeza kwa wingi kumpa ukaribisho kwenye mchezo wake wa kwanza wa nyumbani ambao utakuwa wa Kombe la
Simba kuingia kambini kujiandaa na Red Arrows
Kikosi chetu kitaingia kambini leo baada ya mazoezi ya jioni kujiandaa na mchezo wa kwanza wa mtoano wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Red
Bocco awapiku Manula, Zimbwe Jr tuzo za IDFA
Nahodha John Bocco ameshinda Tuzo ya Mchezaji Bora wa Mwaka 2020 wa Mashabiki zilizotolewa na Chama cha Soka Wilaya ya Ilala (IDFA). Bocco amewashinda mlinda