read
news & Articles
Tuko tayari kupeperusha bendera ya nchi kimataifa
Kikosi chetu kiko tayari kwa ajili ya mchezo wa marudiano wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Red Arrows utakaopigwa katika Uwanja wa Heroes hapa
Bwalya: Naipenda nchi yangu lakini Simba kwanza
Kiungo mshambuliaji Rally Bwalya, amesema atajitoa kuhakikisha anaisaidia timu yetu kufanya vizuri dhidi ya Red Arrows kesho ili kuingia hatua ya makundi ya Kombe la
Pablo aweka msisitizo mechi dhidi ya Red Arrows
Kocha Mkuu Pablo Franco, amesisitiza kuwa katika mchezo wa kesho dhidi ya Red Arrows tunapaswa kuwa makini kutumia nafasi tutakazopata na kuimarisha ulinzi na kupunguza
Tumejipanga kivita nchini Zambia
Kocha Mkuu Pablo Franco, amekiri mchezo wa marudiano wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Red Arrows utakaopigwa Jumapili nchini Zambia utakuwa mgumu lakini tumejipanga
Morrison akabidhiwa tuzo yake na Emirate Aluminum ACP
Kiungo mshambuliaji Bernard Morrison, amekabidhiwa tuzo yake mchezaji bora wa mashabiki wa mwezi Novemba na wadhamini Emirate Aluminum ACP. Morrison amekabidhiwa kitita cha Sh 2,000,000
Morrison Mchezaji Bora Simba Novemba
Kiungo mshambuliaji, Bernard Morrison amechaguliwa Mchezaji Bora wa Mashabiki wa mwezi Novemba (Emirate Aluminium ACP Simba Fans Player of the Month). Morrison raia wa Ghana