read
news & Articles

Timu kurejea kesho mchana
Kikosi chetu kitarejea nchini kesho saa sita mchana kutoka Benin baada ya kumaliza mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya ASEC Mimosas. Timu itaondoka

Pablo: Hatukucheza vizuri
Kocha Mkuu Pablo Franco, amekiri kuwa hatukucheza vizuri katika mchezo wa jana wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya ASEC Mimosas na kusababisha kupoteza mechi.

Tumepoteza alama tatu ugenini
Mchezo wetu wa tano wa hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya ASEC Mimosas uliopigwa Uwanja wa Generali Mathieu Karekou nchini Benin

Nyota watakaotuwakilisha dhidi ya ASEC leo
Medie Kagere amepangwa kuongoza mashambulizi katika mchezo wetu wa tano wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya ASEC Mimosas utakaopigiwa Uwanja wa Generali Mathieu Karekou

Tumejipanga kukata ‘ngebe’ za ASEC leo
Kikosi chetu leo kutashuka katika Uwanja wa Generali Mathieu Karekou uliopo mji wa Cotonou nchini Benin kuikabili ASEC Mimosas kwenye mchezo wetu wa tano wa

Pablo: Tumekuja kuvunja mwiko wa ASEC
Ingawa wapinzani wetu ASEC Mimosas hawajawahi kupoteza mchezo nyumbani, Kocha mkuu Pablo Franco ameweka wazi kuwa tumejipanga kuvunja mwiko huo kesho. Pablo amekiri ASEC ni
