read

news & Articles

Yatakayojiri kwa Mkapa Jumapili

Meneja wa Habari na Mawasiliano wa klabu, Ahmed Ally amesema Jumapili Aprili 17 katika Uwanja wa Benjamin Mkapa kutakuwa na matukio mawili makubwa yakiwemo mashindano

Queens mwendo mdundo

Timu yetu ya Wanawake Simba Queens imeendeleza ubabe katika Ligi Kuu ya Wanawake (Serengeti Lite Women’s Premier League) baada ya kuifunga Ruvuma Queens mabao 2-0.

Tumegawana pointi na Polisi

Mchezo wetu wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Polisi Tanzania uliofanyika Uwanja wa Ushirika mjini Moshi umemalizika kwa sare ya bila kufungana. Mchezo huo

Pablo abadili nyota wanane dhidi ya Polisi leo

Kocha Mkuu Pablo Franco, amefanya mabadiliko ya wachezaji wanane katika kikosi kitakachoshuka dimbani leo kuikabili Polisi Tanzania katika Uwanja wa Ushirika ukilinganisha na kile kilichoanza

subscribe

sign up for our newsletter:

Get news straight from Simba SC