read
news & Articles
Pablo awamwagia sifa wachezaji
Kocha Mkuu Pablo Franco, amewasifu wachezaji kwa kujituma ywanjani wakati wote na kuonyesha kiwango safi uliofanikisha ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Namungo. Amesema kwa
Sakho mchezaji bora dhidi ya Namungo
Kiungo mshambuliaji Pape Ousmane Sakho, amechaguliwa mchezaji bora wa mchezo wetu wa Nusu Fainali ya Michuano ya Mapinduzi dhidi Namungo FC baada ya kuonyesha kiwango
Sisi haooo Fainali Mapinduzi kibabe
Kikosi chetu kimetinga Fainali ya Michuano ya Mapinduzi kwa kishindo baada ya kuifunga Namungo FC mabao 2-0 mchezo uliopigwa Uwanja wa Amani Visiwani Zanzibar. Medie
Kagere kuongoza mashambulizi dhidi ya Namungo
Mshambuliaji Medie Kagere amepangwa kuongoza mashambulizi katika mchezo wetu wa nusu fainali ya michuano ya Mapinduzi dhidi ya Namungo utakaopigwa Uwanja wa Amani saa 2:15
Tupo tayari kwa Namungo
Kikosi chetu leo kitashuka katika Uwanja wa Amani kucheza mechi ya Nusu Fainali ya Michuano ya Mapinduzi dhidi ya Namungo utakaopigwa saa 2:15 usiku. Kama
Pablo: Mechi dhidi ya Namungo itakuwa nzuri
Kocha Mkuu Pablo Franco, amesema mchezo wa kesho wa Nusu Fainali ya Michuano ya Mapinduzi dhidi ya Namungo FC utakuwa mzuri wa kuvutia kuutazama. Pablo