read
news & Articles
Simba U20 yazidi kutoa dozi Ligi ya Vijana
Timu yetu ya vijana chini ya umri wa miaka 20 imeendelea kufanya vizuri katika michuano ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) baada ya kuifunga Cambiaso
Simba, Mtibwa hakuna mbabe
Mchezo wetu wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Mtibwa Sugar uliopigwa Uwanja wa Manungu Complex mkoani Morogoro umemalizika kwa sare ya bila kufungana. Mchezo
Nyota watakaotuwakilisha dhidi ya Mtibwa leo
Muda mfupi ujao kikosi chetu kitashuka katika Uwanja wa Manungu Complex mkoani Morogoro kucheza na Mtibwa Sugar katika mchezo wa Ligi ya NBC utakaoanza saa
Simba U20 yaichakaza Ashanti
Kikosi chetu cha timu ya vijana chini ya umri wa miaka 20 (U-20) kimeichapa bila huruma Ashanti United bao 3-1 katika Michuano ya Shirikisho la
Tumezifuata pointi tatu kwa Mtibwa
Leo saa 10 jioni kikosi chetu kitashuka katika Uwanja wa Manungu mkoani Morogoro kuikabili Mtibwa Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC ambao tumelenga
Timu imefanya mazoezi ya mwisho tayari kuivaa Mtibwa
Kikosi chetu kimefanya mazoezi ya mwisho leo jioni katika Uwanja wa Highland tayari kwa mchezo wa kesho wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Mtibwa