read

news & Articles

Tumechukua pointi tatu zetu kwa Prisons

Kikosi chetu kimefanikiwa kuondoka na alama tatu muhimu baada ya kuifunga Tanzania Prisons bao moja katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC uliofanyika Uwanja wa

Alama tatu tu dhidi ya Prisons leo

Kikosi chetu kitashuka leo katika Uwanja wa Benjamin Mkapa kuikabili Tanzania Prisons kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya NBC ambao utaanza saa moja usiku. Katika

Sakho Mchezaji Bora Simba Januari

Kiungo Mshambuliaji Pape Ousmane Sakho, amechaguliwa Mchezaji Bora wa Mashabiki wa mwezi Januari (Emirate Aluminium ACP Simba Fans Player of the Month). Sakho raia wa

Matola: Tuko tayari dhidi ya Prisons

Kocha Msaidizi Seleman Matola, amesema maandalizi kuelekea mchezo wa kesho wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Tanzania Prisons utakaopigwa Uwanja wa Benjamin Mkapa saa

subscribe

sign up for our newsletter:

Get news straight from Simba SC