read

news & Articles

Pointi moja ugenini

Kikosi chetu kimefanikiwa kupata alama moja ugenini dhidi ya US Gendarmerie Nationale ya Niger katika mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika hatua ya makundi uliopigwa

Kikosi kitakachoikabili USGN

Kocha Mkuu Pablo Franco, amefanya mabadiliko ya wachezaji wawili katika kikosi kitakachoshuka dimbani kuikabili US Gendarmarie Nationale leo ukilinganisha na kile kilichoichapa ASEC Mimosas Jumapili

Karata ya kwanza ugenini Shirikisho Afrika

Kikosi chetu leo kitashuka katika Uwanja wa Jenerali Senyi Kountche kuikabili US Gendarmarie Nationale ya Niger katika mchezo wa kwanza ugenini wa hatua ya makundi

Mazoezi ya mwisho tayari kuikabili USGN Kesho

Kikosi chetu kimefanya mazoezi ya mwisho katika Uwanja wa Jenerali Seyni Kounteche ikiwa ni maandalizi kabla ya kushuka dimbani kuikabili US Gendarmerie Nationale katika mchezo

subscribe

sign up for our newsletter:

Get news straight from Simba SC