Bao la Sakho laingia tatu bora Afrika

Bao la kiungo mshambuliaji Pape Sakho alilofunga katika michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya ASEC Mimosas limeingia tatu bora kwenye kinyang’anyiro ya kutafuta bao bora la mwaka.

Sakho alifunga bao hilo Februari 13, katika Uwanja wa Benjamin Mkapa kwa acrobatic akimalizia mpira wa krosi uliopigwa na mlinzi, Shomari Kapombe.

Wachezaji ambao mabao yao yameingia tatu bora ni

Gabadinho Mhango (Malawi & Orlando Pirates)

Pape Ousmane Sakho (Senegal & Simba)

Zouhair El Moutaraji (Morocco & Wydad Athletic Club)

Tuzo za kutangaza bao bora ambazo mshindi atapatikana kwa kupigiwa kura nyingi zitafanyika kesho saa 3 usiku Rabat nchini Morocco.

SHARE :
Facebook
Twitter

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

GET NEWSLETTER