read
news & Articles
Tunarejea katika Ligi Kuu ya NBC
Baada ya ratiba ndefu ya Michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika hatua ya makundi leo kikosi chetu kitacheza mchezo wa Ligi Kuu ya NBC dhidi
Pablo: Tuna mechi ngumu dhidi ya Biashara kesho
Kocha Mkuu Pablo Franco, amefunguka kuwa mchezo wa kesho wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Biashara United utakaopigiwa Uwanja wa Benjamin Mkapa utakuwa mgumu
Kapombe Mchezaji Bora Februari
Mlinzi wa kulia Shomari Kapombe, amechaguliwa mchezaji bora wa mwezi Februari wa mashabiki (Emirate Aluminium ACP Simba Fans Player of the Month). Kapombe amewapiku mlinzi
Timu yarejea nyumbani salama
Kikosi chetu kimewasili salama jijini Dar es Salaam leo mchana kutoka nchini Morocco baada ya majukumu ya Kombe la Shirikisho Afrika hatua ya makundi kukamilika.
Timu yaanza safari kurejea nyumbani, kutua Dar kesho mchana
Kikosi chetu kimeanza safari ya kurejea nyumbani baada ya kumaliza mchezo wa Kombe la Shirikisho barani Afrika hatua ya makundi dhidi ya RS Berkane uliopigwa
Kapombe, Banda, Henock kuchuana mchezaji bora Februari
Wachezaji watatu Shomari Kapombe, Peter Banda na Henock Inonga wameingia fainali ya kinyang’anyiro cha kumtafuta mchezaji bora wa mashabiki wa mwezi Februari (Emirate Aluminium Simba