read
news & Articles
Mchezo dhidi ya Dodoma kesho kupigwa jioni
Mechi yetu ya kesho ya Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Dodoma Jiji ambayo awali ilikuwa ichezwe saa moja usiku sasa itapigwa saa 10 jioni.
Kakolanya afurahia ‘clean sheet’
Mlinda mlango namba mbili, Beno Kakolanya amefurahi kucheza mechi yake ya kwanza ya ligi msimu huu bila kuruhusu kufungwa bao (clean sheet). Mchezo huo uliopigwa
Pablo awamwagia sifa wachezaji ushindi dhidi ya Biashara
Kocha Mkuu Pablo Franco, amewasifu wachezaji kwa jinsi walivyojituma katika mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya Biashara United tulioibuka na ushindi wa mabao 3-0. Pablo
Tumeanza vizuri mzunguko wa pili NBC
Kikosi chetu kimeibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Biashara United katika mchezo wa kwanza wa mzunguko wa pili wa Ligi Kuu ya NBC
Kakolanya aanza kwa mara ya kwanza NBC
Mlinda mlango Beno Kakolanya ameanza kikosi cha kwanza katika mchezo wetu wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Biashara United utakaopigiwa leo saa moja usiku
Opa kupaa Uturuki kufanya majaribio
Mshambuliaji wetu kinara wa Simba Queens, Opa Clement ataondoka leo usiku kuelekea nchini Uturuki kwa ajili ya kufanya majaribio katika timu ya Kayserispor Girl. Majaribio