read
news & Articles
Alichosema Zimbwe Jr kuelekea mchezo wa kesho
Nahodha Msaidizi Mohamed Hussein ‘Zimbwe Jr’ ameweka wazi kuwa wachezaji wapo kamili kuikabili RS Berkane katika mchezo wa kesho wa Kombe la Shirikisho Afrika utakaopigwa
Pablo: Tunahitaji kuichapa Berkane nyumbani
Kocha Mkuu Pablo Franco, amesisitiza kuwa tunahitaji kupata alama tatu katika mchezo wa kesho wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya RS Berkane utakaopigiwa Uwanja
Huyu hapa Mgeni rasmi mchezo wetu dhidi ya RS Berkane
Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Mh. Omari Said Shaaban atakuwa mgeni rasmi katika mchezo wetu wa Kombe la
Kurejea majeruhi kutuongezea nguvu kikosini dhidi ya Berkane
Nahodha Msaidizi Mohamed Hussein (Zimbwe Jr) amesema kurejea kwa wachezaji waliokuwa majeruhi wameongeza nguvu kubwa kuelekea mchezo wetu wa Jumapili wa Kombe la Shirikisho Afrika
Timu kuingia kambini kujiandaa na Berkane
Kikosi chetu kitaingia kambini baada ya mazoezi ya leo jioni kujiandaa na mchezo wa nne wa Kombe la Shirikisho Afrika hatua ya makundi dhidi ya
Kapombe akabidhiwa tuzo yake na Emirate Aluminium ACP
Mlinzi wa kulia Shomari Kapombe, amekabidhiwa tuzo yake ya mchezaji bora wa mwezi Februari wa mashabiki (Emirate Aluminium ACP Simba Fans Player of the Month).