read
news & Articles
Kapombe, Sakho, Banda wachuana mchezaji bora Machi
Nyota watatu wameingia fainali ya kinyang’anyiro cha mchezaji bora wa mashabiki wa mwezi Machi (Emirate Aluminium ACP Simba Fans Player of the Month). Nyota hao
Lengo lilikuwa kufuzu ugeniniā¦
Wakati timu inaondoka kuelekea Benin kwa ajili ya mchezo wetu wa tano hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya ASEC Mimosas, tulikuwa
Bocco aomba radhi kwa mashabiki, viongozi
Nahodha wa timu John Bocco, ameomba radhi kwa mashabiki na viongozi kwa kukubali kipigo cha mabao 3-0 kutoka kwa ASEC Mimosas katika mchezo wa tano
Timu kurejea kesho mchana
Kikosi chetu kitarejea nchini kesho saa sita mchana kutoka Benin baada ya kumaliza mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya ASEC Mimosas. Timu itaondoka
Pablo: Hatukucheza vizuri
Kocha Mkuu Pablo Franco, amekiri kuwa hatukucheza vizuri katika mchezo wa jana wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya ASEC Mimosas na kusababisha kupoteza mechi.
Tumepoteza alama tatu ugenini
Mchezo wetu wa tano wa hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya ASEC Mimosas uliopigwa Uwanja wa Generali Mathieu Karekou nchini Benin