Kikosi cha Queens kitakachoikabili Yei Joints Leo

Kikosi cha Simba Queens leo saa tisa alasiri kitashuka katika Uwanja wa Benjamin Mkapa kuikabili Yei Joints Stars kutoka Sudan Kusini katika mchezo wa mwisho wa kundi B kwenye michuano ya kufuzu Fainali za Afrika katika Ukanda wa Afrika Mashariki na Kati (CECAFA).

Mshambualiaji nyota, Asha Djafar leo ameanzia benchi huku kocha Sebastian Nkoma akimuanzisha Asha Juma kushirikiana na Opa Clement katika idara ya ushambuliaji.

Kikosi kamili kilivyopangwa

Zubeda mgunda (29), Diana William (15), Fatuma Issa (5), Violeth Nicholaus (26), Daniella Kanyanya (22), Vivian Corazone (4), Philomena Abakah (27), Joelle Bukuru (18), Opa Clement (7), Aisha Juma (10), Amina Ramadhani (14)

Wachezaji wa Akiba

Gelwa Yonah (21), Doto Evarist (11), Esther Mayala (23), Silvia Thomas (12), Sarrive Badiambila (2), Olaiya Barakat (9), Topister Situma (13), Pambani Kuzoya (17), Asha Djafari (24).

SHARE :
Facebook
Twitter

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

GET NEWSLETTER