Kikosi kitakacho tuwakilisha dhidi ya Kagera

Kocha Mkuu Zoran amefanya mabadiliko ya mchezaji mmoja katika mchezo wa leo dhidi ya Kagera ukilinganisha na mechi iliyopata dhidi ya Geita Gold.

Moses Phiri ataendelea kuiongoza safu ya ushambuliaji akisaidiwa kwa karibu na viungo washambuliaji Clatous Chama, Pape Sakho na Peter Banda.

Kikosi Kamili kilivyopangwa

Aishi Manula (28), Shomari Kapombe (12), Mohamed Hussein (15), Henock Inonga (29), Mohamed Ouattara (33), Sadio Kanoute (13), Pape Sakho (10), Clatous Chama (17), Moses Phiri (25), Augustine Okrah (27), Peter Banda (11).

Wachezaji wa Akiba

Beno Kakolanya (30), Israel Patrick (5), Joash Onyango (16), Mzamiru Yassin (19), Nelson Okwa (8), Erasto Nyoni (18), Dejan Georgijevic (7), Habib Kyombo (32), Kibu Denis (38).

SHARE :
Facebook
Twitter

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

GET NEWSLETTER