read
news & Articles
Ahmed: Tumejifunza kutokana na makosa, hatutayarudia
Meneja wa Habari na Mawasiliano wa klabu, Ahmed Ally amesema kuwa bila kuangalia historia ya wapinzani wetu US Gandarmerie tutaingia Jumapili kwa lengo moja kupambana
Banda Mchezaji Bora wa Mashabiki Machi
Winga Peter Banda, amechaguliwa mchezaji bora wa mashabiki wa mwezi Machi (Emirate Aluminium ACP Simba Fans Player of the Month). Banda amewapiku kiungo mshambuliaji, Pape
Timu yafanya mazoezi Mo Arena
Baada ya kuingia rasmi kambini leo mchana kikosi kimefanya mazoezi katika Uwanja wa Mo Simba Arena jioni ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya mchezo wetu
Timu kuingia kambini kesho
Kikosi chetu kitaingia kambini kesho mchana kuanza maandalizi ya mchezo wetu wa mwisho wa hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya US
CAF yaruhusu mashabiki 35,000 mchezo dhidi ya USGN
Shirikisho la Soka barani Afrika (CAF) limeruhusu idadi ya mashabiki 35,000 katika mchezo wetu wa mwisho wa hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika
Hivi hapa viingilio vya mchezo wetu dhidi ya USGN
Uongozi wa klabu umetangaza viingilio vya mchezo wetu wa mwisho wa Kombe la Shirikisho Afrika utakaopigwa Uwanja wa Benjamin Mkapa, Jumapili Aprili 3, mwaka huu.