read
news & Articles

Queens yavunja kambi, wachezaji wapewa mapumziko
Kikosi chetu cha Simba Queens kimevunja kambi na wachezaji wamepewa mapumziko huku wale walioitwa Timu ya Taifa (Twiga Stars) wakiwa wameruhusiwa kwenda kujiunga kwa ajili

Israel aiita mechi dhidi ya Al Hilal ‘Ya Wakubwa’
Mlinzi wa kulia Israel Patrick amesema mchezo wa kesho wa fainali dhidi ya wenyeji Al Hilal ni ya wakubwa kutokana na kukutanisha timu zenye historia

Matola: Tupo tayari kwa fainali kesho
Kocha Msaidizi Seleman Matola amesema kikosi kipo tayari kwa ajili ya mchezo wa fainali dhidi ya wenyeji Al Hilal utakaopigwa kesho katika Uwanja wa Al

Chama, Sakho, Kanoute kuchuana Mchezaji Bora Agosti
Nyota wetu watatu wameingia fainali ya kinyang’anyiro cha kutafuta Mchezaji Bora wa Mashabiki (Emirate Aluminium ACP Simba Fans Player of the Month) wa mwezi Agosti.

Tumeanza kwa Ushindi Sudan
Kikosi chetu kimefanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 4-2 katika mchezo wa kimataifa wa kirafiki dhidi ya Asante Kotoko kutoka Ghana mchezo uliopigwa Uwanja wa

CEO wa Asante Kotoko ashukuru kwa zawadi
Mtendaji Mkuu wa klabu ya Asante Kotoko, Nana Yaw Amponsah ameshukuru kwa zawadi alizopewa na Mwenyekiti wa klabu, Murtaza Mangungu. Kabla ya mchezo wetu wa