read
news & Articles
Queens mwendo mdundo
Timu yetu ya Wanawake Simba Queens imeendeleza ubabe katika Ligi Kuu ya Wanawake (Serengeti Lite Women’s Premier League) baada ya kuifunga Ruvuma Queens mabao 2-0.
Tumegawana pointi na Polisi
Mchezo wetu wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Polisi Tanzania uliofanyika Uwanja wa Ushirika mjini Moshi umemalizika kwa sare ya bila kufungana. Mchezo huo
Pablo abadili nyota wanane dhidi ya Polisi leo
Kocha Mkuu Pablo Franco, amefanya mabadiliko ya wachezaji wanane katika kikosi kitakachoshuka dimbani leo kuikabili Polisi Tanzania katika Uwanja wa Ushirika ukilinganisha na kile kilichoanza
Tuko tayari kuchukua pointi tatu kwa Polisi leo
Kikosi chetu leo saa 10 jioni kitashuka katika Uwanja wa Ushirika Moshi mkoani Kilimanjaro kuikabili Polisi Tanzania katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC. Ligi
Pablo: Mchezo dhidi ya Polisi utakuwa mgumu
Kocha Mkuu Pablo Franco, amesema mchezo wa kesho wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Polisi Tanzania utakaopigwa Uwanja wa Ushirika utakuwa mgumu kwetu kutokana
Timu yafanya mazoezi TPC Moshi kujiandaa na Polisi
Kikosi chetu kimefanya mazoezi katika Uwanja wa Limpopo TPC Mjini Moshi mkoani Kilimanjaro ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya mchezo wetu ujao wa Ligi Kuu