read
news & Articles
Timu yaingia kambini kujiwinda na Orlando
Kikosi chetu kimeingia kambini baada ya mazoezi ya asubuhi tayari kwa maandalizi ya mchezo wetu wa marudiano wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Orlando
Pablo anena ushindi dhidi ya Orlando
Kocha Mkuu Pablo Franco, ameweka wazi furaha yake ya ushindi wa bao moja nyumbani tuliopata dhidi Orlando Pirates akisema unatupa faida kwenye mchezo wa marudiano
Tumeingiza mguu mmoja Nusu Fainali Shirikisho
Ushindi wa bao moja tuliopata katika uwanja wa nyumbani dhidi ya Orlando Pirates umetufanya kuingiza mguu mmoja katika Nusu Fainali ya Michuano ya Kombe la
Kikosi kitakachotuwakilisha dhidi ya Orlando
Mshambuliaji Chris Mugalu na Bernard Morrison wamepangwa kuongoza mashambulizi katika mchezo wetu wa Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Orlando Pirates. Mugalu
Tumejipanga kumaliza kazi leo kwa Mkapa
Kikosi chetu leo kitashuka katika Uwanja wa Benjamin Mkapa saa moja usiku kuikabili Orlando Pirates ya Afrika Kusini kwenye mchezo wa kwanza wa Robo Fainali
Kinana Mgeni rasmi mchezo wetu dhidi ya Orlando
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Comrade Abdulrahman Kinana anatarajiwa kuwa mgeni rasmi wa mchezo wetu wa Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika