read
news & Articles
Timu yarejea salama Dar
Kikosi chetu kimerejea salama jijini Dar es Salaam usiku huu kutoka nchini Afrika Kusini baada ya kumaliza ratiba ya Michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika
Licha ya kutolewa Shirikisho Pablo awamwagia sifa wachezaji
Kocha Mkuu Pablo Franco, amewasifu wachezaji kwa kujituma muda wote wa mchezo ingawa tumetolewa Kombe la Shirikisho Afrika na Orlando Pirates kwa mikwaju ya penati
Tumetolewa Shirikisho Afrika kwa penati
Timu yetu imetolewa kwa mikwaju ya penati katika mchezo wa Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika kwa mikwaju ya 4-3 ugenini dhidi ya Orlando
Queen yapoteza kwa Yanga Princess
Timu yetu ya Simba Queens imepoteza kwa mara ya kwanza msimu huu baada ya kulala kwa bao moja mbele ya Yanga Princess katika mchezo wa
Pablo abadili mfumo kikosi dhidi ya Orlando
Kocha Mkuu Pablo Franco, amebadili mfumo wa uchezaji katika mchezo wa marudiano wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Orlando Pirates utakaoanza saa moja usiku
Kikosi cha Queens kitakachotuwakilisha dhidi ya Yanga leo
Timu yetu ya Simba Queens itashuka katika Uwanja wa Benjamin Mkapa kuikabili Yanga Princess kwenye mchezo wa Ligi ya Wanawake (Serengeti Lite Women’s Premier League)