Kikosi kitakachotuwakilisha dhidi ya Big Bullets

Moses Phiri ataendelea kuongoza safu yetu ya ushambuliaji katika mchezo wa marudiano wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Nyasa Big Bullets utakaopigwa Uwanja wa Benjamin Mkapa saa 10 jioni.

Katika mchezo wa leo Phiri atapata msaada wa karibu kutoka kwa viungo washambuliaji Clatous Chama, Kibu Denis na Augustine Okrah.

Sadio Kanoute amerejea kikosini na ataongoza safu ya kiungo wa ulinzi pamoja na Mzamiru Yassin.

Kikosi kamili kilivyopangwa

Aishi Manula (28), Israel Patrick (5), Mohamed Hussein (15), Kennedy Juma (26), Henock Inonga (29), Sadio Kanoute (13), Kibu Denis (38), Mzamiru Yassin (19), Moses Phiri (25), Clatous Chama (17), Augustine Okrah.

Wachezaji wa Akiba

Beno Kakolanya (30), Erasto Nyoni (18), Mohamed Ouattara (33), Jonas Mkude (20), Pape Sakho (10), Nelson Okwa (8), Dejan Georgijevic (7), John Bocco (22), Peter Banda (11).

SHARE :
Facebook
Twitter

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

GET NEWSLETTER