read
news & Articles

Vitani kutupa karata yetu ya kwanza Angola leo
Kikosi chetu leo kitashuka katika Uwanja wa Novemba 11 saa 12 jioni kuikabili Premiero De Agosto katika mchezo wa hatua ya kwanza Ligi ya Mabingwa

Timu yafanya mazoezi ya mwisho kabla ya kuifuata De Agosto
Kikosi chetu kimefanya mazoezi ya mwisho jioni katika uwanja wetu wa Mo Simba Arena kabla ya kuanza safari ya kuifuata Primiero De Agosto nchini Angola.

Alichokisema Bocco kuelekea mchezo dhidi ya De Agosto
Nahodha wa timu John Bocco, amesema licha ya kuwa na historia nzuri kwenye Michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika, haitupi kiburi kuwa tutaibuka na ushindi

Phiri awataja wachezaji wenzake Tuzo ya Septemba
Mshambualiaji wetu kinara Moses Phiri amewashukuru wachezaji wenzake kwa ushirikiano waliompa hadi kufanikiwa kuibuka mshindi katika Tuzo ya Mchezaji Bora wa Mashabiki wa mwezi Septemba

Timu yaendelea kujifua Mo Arena
Kikosi chetu kimeendelea na mazoezi ya kujiandaa na mchezo wa hatua ya kwanza ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Primiero De Agosto utakaopigwa Jumapili

Timu kupaa Angola Jumamosi kuifuata De Agosto
Kikosi chetu kinatarajia kuondoka nchini Jumamosi alfajiri Oktoba 8, kuekekea Angola tayari kwa mchezo wa hatua ya kwanza wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya