read
news & Articles
Kagera wavutishwa pumzi ya moto
Kikosi chetu kimefanikiwa kuondoka na alama zote tatu mbele ya Kagera Sugar baada ya kuifunga mabao 2-0 mchezo wa Ligi Kuu ya NBC uliopigwa Uwanja
Bocco kuongoza mashambulizi dhidi ya Kagera
Nahodha John Bocco amepangwa kuongoza mashambulizi katika mchezo wetu wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Kagera Sugar utakaopigiwa Uwanja wa Benjamin Mkapa saa moja
Tupo kwa Mkapa Leo kuikabili Kagera
Kikosi chetu leo kitashuka katika dimba la Benjamin Mkapa saa moja usiku kuikabili Kagera Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC ambao tunataraji utakuwa
Queens yaichakaza The Tigers Arusha
Timu yetu ya Simba Queens imeendeleza moto wake katika Ligi ya Wanawake Serengeti Lite Womens Premier League baada ya kuichapa The Tigers Queens mabao 3-0
Kauli ya Pablo kuelekea mchezo wa kesho dhidi ya Kagera
Kocha Mkuu Pablo Franco ameweka wazi kuwa mchezo wa kesho wa Ligi kuu ya NBC dhidi ya Kagera Sugar utakuwa ngumu kutokana na ubora wa
Sportpesa yatoa mamilioni kufika robo fainali Shirikisho
Wadhamini wetu wakuu kampuni ya michezo ya kubahatisha ya Sportpesa imetupatia kitita cha Sh milioni 50 (50,000,000) kwa kufanikiwa kutinga Robo Fainali ya Michuano ya