read
news & Articles
Kibu mchezaji bora Mei
Kiungo mshambuliaji, Kibu Denis amechaguliwa mchezaji bora wa mashabiki wa mwezi Mei (Emirate Aluminium ACP Simba Fans Player of the Month). Kibu ameshinda tuzo hiyo
Timu yetu ya vijana mzigoni mwezi ujao
Kikosi cha timu yetu ya vijana kitashiriki michuano ya Ligi Kuu chini ya umri wa miaka 20 ambayo itaanza kutimua vumbi Julai mwaka huu. Michuano
Nane kuwakilisha nchi zao kufuzu AFCON
Wachezaji nane kutoka kwenye kikosi chetu wameitwa katika timu zao za taifa kwa ajili ya mechi mbili za kufuzu michuano ya AFCON itakayofanyika mwakani. Nyota
Taarifa Kwa Umma
Uongozi wa Klabu umefikia makubaliano ya pande zote ya kuvunja mkataba na kocha mkuu, Pablo Franco Martin baada ya kutofikia matarajio yaliyokuwa yamewekwa. Katika kipindi
Kibu, Bwalya, Mzamiru kuchuana mchezaji bora Mei
Nyota wetu watatu wameingia fainali ya kinyang’anyiro cha mchezaji bora wa mwezi Mei wa mashabiki (Emirate Aluminium ACP Simba Fans Player of the Month).
Mo: Hakuna kurudi nyuma, mapambano yanaendelea
Rais wa Heshima wa Klabu na muwekezaji, Mohamed Dewji ‘Mo’ amesema licha yakuwa hatukuwa na msimu mzuri lakini hatupaswi kurudi nyuma badala yake kuboresha kwenye