Kikosi Kitakachotuwakilisha dhidi ya Determine Girls

Kikosi chetu leo kitacheza mchezo wa pili wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Determine Girls ambao utapigwa saa moja usiku kwa saa za nyumabani Tanzania.

Kocha Charles Lukula amefanya mabadiliko ya mchezaji mmoja kulinganisha na kikosi kilichopangwa dhidi ya ASFAR FC ambapo mlinzi wa kushoto Silvia Thomas ataanza kuchukua nafasi ya Diana Mnali.

Kikosi kamili kilichopangwa

(21) Gelwa Yonah (5), Fatuma Issa (12), Silvia Thomas (23), Esther Erastus (22), Daniella Kanyanya (18), Joelle Bukuru (17) Pambani kuzoya (4) Vivian Corazone (7) Opa Clement (10) Aisha Juma (24) Asha Djafar.

Wachezaji wa Akiba

(20) Zubeda Mgunda (2) Sarrive Badiambila (6) Philomena Abakah (9), Olaiya Barakat (11) Doto Evarist (19) Koku Ally (26) Violeth Nicholous (14) Amina Hemed (13) Topister situma (16) Jackline Albert.

SHARE :
Facebook
Twitter

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

GET NEWSLETTER