Timu yarejea mazoezini

Baada ya mapumziko ya siku mbili kikosi chetu kimefanya mazoezi leo katika Uwanja wa Mo Simba Arena kujiandaa na mchezo wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Singida Big Stars utakaopigiwa Novemba 9.

Wachezaji walipewa ruhusa ya kwenda kukutana na familia zao baada ya ushindi wa mabao 5-0 tuliopata Jumapili Oktoba 30.

Wachezaji wote wamefanya mazoezi isipokuwa Jimmyson Mwanuke na Israel Patrick ambao bado ni majeruhi.

SHARE :
Facebook
Twitter

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

GET NEWSLETTER