read
news & Articles
Tumeshinda mbele ya Cambiaso
Mchezo wetu wa kirafiki wa mazoezi uliopigwa katika Uwanja wetu wa Mo Simba Arena dhidi ya Cambiaso Sports imemalizika kwa ushindi wa mabao 3-2. Tulianza
Matola: Tunataka kumaliza ligi kwa heshima
Kaimu Kocha Mkuu Seleman Matola, ameweka wazi kuwa lengo letu lililobaki ni kuhakikisha tunamaliza ligi kwa heshima baada ya kuwa na nafasi ndogo ya kutetea
Timu yarejea mazoezini
Baada ya mapumziko ya wiki moja kupisha mechi za kufuzu Fainali za AFCON kikosi chetu kimerejea mazoezini kujiandaa na mechi zilizosalia za Ligi Kuu ya
Manula arejea langoni Stars
Mlinda mlango wetu Aishi Manula, atasimama katika milingoti mitatu katika kikosi cha Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) kitakachoshuka dimbani kuikabili Niger kwenye mchezo
Try Again: Tutarudi kwa kasi kubwa msimu ujao
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi, Salim Abdallah ‘Try Again’ amefunguka kuwa tutatengeneza kikosi imara na benchi bora la ufundi kuelekea Msimu Mpya wa Ligi 2022/23.
Tumedhamiria kuwa na uwanja wetu
Kiasi chote kitakachopatikana katika Kampeni ya Nani Zaidi iliyozinduliwa leo kitatumika katika ujenzi wa miundombinu ya uwanja wetu tutakaoutumia kwenye michuano mbalimbali ya ndani na