read
news & Articles
Kikosi kitakachotuwakilisha dhidi ya Mbeya City
Mshambuliaji Kibu Denis ataongoza safu ya ushambuliaji katika mchezo wa wetu wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Mbeya City utakaopigwa Uwanja wa Benjamin Mkapa
Phiri: Ndoto yangu imetimia
Nyota wetu mpya Moses Phiri, amefunguka kuwa ndoto yake imetimia baada ya kufanikiwa kutua katika kikosi chetu na kusaini mkataba wa miaka miwili. Phiri raia
Tuna jambo letu na Mbeya City kwa Mkapa leo
Baada ya mapumziko ya wiki mbili kupisha mechi za kufuzu michuano ya AFCON kikosi chetu leo kitashuka katika Uwanja wa Benjamin Mkapa kuikabili Mbeya City
Rasmi Moses Phiri ni mnyama
Klabu yetu imefanikiwa kumsajili mshambuliaji Moses Phiri raia wa Zambia aliyekuwa anachezea Zanaco FC ya nchini humo kwa mkataba wa miaka miwili. Phiri ambaye pia
Kauli ya Matola kuelekea mchezo wa Kesho
Kaimu Kocha Mkuu Seleman Matola, amesema maandalizi yamekamilika kuelekea mchezo wa kesho wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Mbeya City utakaopigwa Uwanja wa Benjamin
Simba Klabu Bora Kidigitali mwaka 2021
Klabu yetu leo imekabidhiwa Tuzo ya Klabu Bora ya Kigitali kutokana na kufanya vizuri katika mitandao ya kijamii mwaka 2021. Tuzo hiyo tumekabidhiwa na waandaaji