read
news & Articles

Mgunda: Nawapongeza wachezaji wangu
Kocha Mkuu Juma Mgunda, amewapongeza wachezaji kwa kazi kubwa waliyofanya na kufanikisha kupata ushindi wa bao moja dhidi ya Ihefu katika mchezo wa Ligi Kuu

Tumepoteza mchezo wa mshindi wa tatu
Mchezo wetu wa kutafuta mshindi wa tatu wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Bayelsa Queens kutoka Nigeria umemalizika kwa kupoteza kwa bao moja. Mchezo

Tumepata pointi tatu nyumbani
Kikosi chetu kimefanikiwa kuibuka na ushindi wa bao moja dhidi ya Ihefu FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC uliopigwa Uwanja wa Benjamin Mkapa

Kikosi chetu kitakacho tuwakilisha dhidi ya Bayelsa Leo
Kocha Mkuu, Charles Lukula amefanya mabadiliko ya wachezaji watatu kwenye kikosi kitakacho ikabili Bayelsa Queens kutoka Nigeria katika mchezo wa kuwania mshindi wa tatu wa

Mgunda afanya mabadiliko mawili dhidi ya Ihefu leo
Kocha Juma Mgunda, amefanya mabadiliko ya wachezaji wawili katika mchezo wa leo dhidi ya Ihefu FC utakaopigiwa saa moja usiku kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa.

Tupo nyumbani kwa Mkapa kuikabili Ihefu leo
Kikosi chetu leo saa moja usiku kitashuka katika Uwanja wa Benjamin Mkapa kuikabili Ihefu FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC. Tunashuka katika mchezo