Kikosi chetu kitakacho tuwakilisha dhidi ya Bayelsa Leo

Kocha Mkuu, Charles Lukula amefanya mabadiliko ya wachezaji watatu kwenye kikosi kitakacho ikabili Bayelsa Queens kutoka Nigeria katika mchezo wa kuwania mshindi wa tatu wa Ligi ya Mabingwa Afrika.

Lukula amewaanzisha Dotto Evarist, Esther Mayala na Pambani Fallone ambao wote walianzia benchi katika mchezo wa nusu fainali uliopita dhidi ya Mamelodi Sundowns.

Kikosi Kamili Kilivyopangwa

Gelwa Yohan (21), Fatuma Issa (5), Dotto Evarist (11), Daniela Kanyanya (22), Violet Nicholas (26), Esther Mayala (23), Joelle Bukuru (18), Vivian Corazone (4), Pambani Kuzoya (17), Opa Clement (7), Asha Djafar (24)

Wachezaji wa Akiba

Zubeda Mgunda (20), Janeth Shija (1), Silvia Thomas (12), S’arrive Lobo (2), Jackline Albert (16), Topister Situma (13), Koku Ally (19), Amina Hemed (14), Philomena Abakah (6), Olaiya Barakat (9).

SHARE :
Facebook
Twitter

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

GET NEWSLETTER