read
news & Articles

Bocco: Jambo kubwa ni kuisaidia timu kwanza
Baada ya kufunga mabao matatu ‘hat trick’ kwenye ushindi 4-0 dhidi ya Ruvu Shooting jana, Nahodha John Bocco amesema kitu cha kwanza ni kuisaidia timu

Mgunda: Ushindi huu wetu sote
Kocha Mkuu Juma Mgunda amesema ushindi wa mabao 4-0 tuliopata dhidi ya Ruvu Shooting ni wetu sote benchi la ufundi, wachezaji pamoja na mashabiki. Mgunda

Bocco arejea na ‘Hat trick’ dhidi ya Ruvu
Nahodha John Bocco amefunga mabao matatu ‘hat trick’ katika ushindi wa 4-0 tuliyopata dhidi ya Ruvu Shooting kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya NBC uliopigwa

Chama arejea, kucheza dhidi ya Ruvu Shooting leo
Kiungo mshambuliaji Clatous Chama amerejea kikosini katika mchezo wa leo wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Ruvu Shooting baada ya kukosekana kwenye mechi tatu

Tupo kwa Mkapa tena kuikabili Ruvu Shooting Leo
Kikosi chetu leo kitashuka katika Uwanja wa Benjamin Mkapa saa moja usiku kuikabili Ruvu Shooting kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya NBC. Tunaingia katika mchezo

Bodi yakutana kujadili mipango ya klabu
Bodi ya Wakurugenzi chini ya Mwenyekiti Salim Abdallah ‘Try Again’ leo imekutana jijini Dar es Salaam na kujadili masuala mbalimbali ya maendeleo ya klabu. Miongoni