read
news & Articles

Phiri atupia mawili tukiifunga Coastal Mkwakwani
Mshambuaji kinara Moses Phiri amefunga mabao mawili katika ushindi wa 3-0 tuliyowafunga Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC uliopigwa Uwanja wa CCM

Kikosi kitakachotuwakilisha dhidi ya Coastal leo
Nahodha John Bocco na kinara Moses Phiri wamepangwa kuongoza mashambulizi katika mchezo wa leo wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Coastal UnionĀ utakaopigwa Uwanja

Tuko Mkwakwani kuikabili Coastal
Kikosi chetu leo saa 10 jioni kitashuka katika Uwanja wa CCM Mkwakwani jijini Tanga kuikabili Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC. Maandalizi

Timu yafanya mazoezi ya mwisho Mkwakwani
Kikosi chetu kimefanya mazoezi ya mwisho katika Uwanja wa Mkwakwani tayari kwa mchezo wa kesho wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Coastal Union utakaopigwa

Alichosema Kocha Mgunda kuelekea mchezo dhidi ya Coastal
Kocha Mkuu Juma Mgunda, amesema maandalizi ya mchezo wa kesho wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Coastal Union utakaopigwa Uwanja wa Mkwakwani yamekamilika. Mgunda

Habari Picha: Timu ilivyowasili Tanga
Kikosi chetu kimewasili salama jijini Tanga tayari kwa mchezo wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Coastal Union utakaopigwa Jumamosi saa 10 jioni Uwanja wa