read
news & Articles

Queens yaifuata The Tigers Arusha
Kikosi chetu cha Simba Queens kimeondoka leo alfajiri kuelekea jijini Arusha tayari kwa mchezo wa pili wa Ligi ya Wanawake (Serengeti Lite Women’s Premier League)

Mgunda: Tulikuwa tunacheza na timu ambayo hatuijui
Kocha Mkuu Juma Mgunda, amesema Eagle FC tulikuwa hatuijui na hatukuwahi kuiona ikicheza ndiyo maana tulianza na sehemu kubwa ya kikosi kilichozoeleka. Mgunda amesema ni

Phiri atupia manne tukiichakaza Eagle kwa Mkapa
Mshambuaji kinara Moses Phiri amefunga mabao manne katika ushindi wa mabao 8-0 tuliopata dhidi ya Eagle FC kwenye mchezo wa hatua ya pili ya Azam

Phiri, Kyombo kuongoza mashambulizi dhidi ya Eagle leo
Kocha Juma Mgunda ameanza na washambuliaji wawili katika mchezo wetu wa hatua ya pili ya Azam Sports Federation Cup ASFC dhidi ya Eagle FC utakaopigwa

Zimbwe Jr awaita mashabiki kwa Mkapa Kesho
Nahodha Msaidizi Mohamed Hussein ‘Zimbwe Jr’ amewaomba mashabiki kujitokeza kwa wingi katika Uwanja wa Benjamin Mkapa kesho kwa ajili ya kutupa sapoti kwenye mchezo wetu

Mgunda: Hakuna timu ndogo kwenye mashindano
Kocha Mkuu Juma Mgunda, amesema kwenye mashindano yoyote hakuna timu ndogo ndiyo maana katika mchezo wa kesho wa hatua ya pili ya Azam Sports Federation