read
news & Articles

Mgunda akabidhiwa tuzo yake CCM Kirumba
Kocha Mkuu Juma Mgunda amekabidhiwa tuzo ya kocha bora wa Ligi Kuu ya NBC mwezi Novemba muda mfupi kabla ya kuanza mchezo wetu dhidi ya

Mgunda: Mpira ni mchezo wa makosa, Geita sio timu mbovu
Licha ya kufanikiwa kuibuka na ushindi mnono wa mabao 5-0 kocha Juma Mgunda ameisifu Geita Gold na kusema ni timu nzuri na imetupa ushindani mkubwa.

Tumepata Ushindi mnono mbele ya Geita Kirumba
Kikosi chetu kimefanikiwa kuibuka na ushindi mnono wa mabao 5-0 dhidi ya Geita Gold katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC uliopigwa Uwanja wa CCM

Kikosi kitakachotuwakilisha dhidi ya Geita Leo
Kocha Juma Mgunda, amewapanga nahodha, John Bocco na Moses Phiri kuongoza mashambulizi katika mchezo wa leo wa Ligi Kuu ya NBC dhidi Geita Gold

Tunafungua mzunguko wa pili CCM Kirumba leo
Kikosi chetu leo saa 10 jioni kitashuka katika Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza kufungua pazia la mzunguko wa pili wa Ligi Kuu ya NBC

Timu yafanya mazoezi ya mwisho Kirumba
Kikosi chetu kimefanya mazoezi ya mwisho katika Uwanja wa CCM Kirumba tayari kwa mchezo wa kesho wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Geita Gold